×

Msuva Asajiliwa Benfica ya Ureno

Dkt Jonas Tiboroha, Meneja wa Simon Msuva, mchezaji wa Taifa Stars, amesema Msuva amejiunga na klabu ya Benfica ya Ureno kwa mkataba wa miaka 3 akitokea klabu ya Difaâ El Jadida.

 

Amesema ataanza kuitumikia Benfica Julai 2020 na sasa anaenda kwa mkopo katika klabu ya Panathinaikos ya Ugiriki.

 

Leave a Comment