Leo Januari 12, 2020 Wanannchi wa Zanzibar wanaadhimisha miaka 56 ya mapinduzi matukufu ya Taifa hilo. Tafakuri baada ya habari inakupitisha kuijua siku hii muhimu kwa Tanzania.