×

Ugonjwa wa Ajabu Wamtesa Miaka 10 ‘Mnisaidie’ – Video

 

Miongoni mwa vitu ambavyo jamii haifahamu ni kuwa kuna wimbi la watu mtaani wanaoishi kwenye mazingira magumu wakikabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo magonjwa, umasikini, n.k.

 

Mbali na kuhabarisha na kuburudisha GLOBAL TV ONLINE pia tunajukumu la kutupia macho jamii, kusaidia lakini pia kuyawasilisha matatizo yao kwa umma, serikali na wasamaria wema ili waweze kupata msaada.

 

Kutana na kijana Mathias ambaye amekutwa na ugonjwa wa ajabu kwa muda wa miaka kumi sasa. Mathias hawezi kabisa kutembea na anaishi na wazazi wake ambao nao hawawezi kumudu mahitaji yote ya kijana wao.

SIMULIZI YA MAISHA YAKE NA UGONJWA WAKE, TAZAMA VIDEO HII

Leave a Comment