×

Mama wa Mwanafunzi Aliyepata One ya 7 Amwangukia JPM – Video

Mama mzazi wa kijana Yohana Lameck ambaye amefanya vizuri katika mtihani wa Kidato cha nne kwa kupata Daraja A ya pointi 7 (alama A kwa masomo yote 9), kutoka Shuleya Kata, Sekondari – Igaganulwa iliyopo Bariadi vijijini Mkoani Simiyu amemuomba Rais Magufuli kumsaidia mtoto wake ili aweze kuendelea na masomo kwani mama huyo hana uwezo wa kumsomesha mwanaye.

Leave a Comment