Simba SC imesajili tena Mchezaji Shiza Kichuya ambaye awali klabu hiyo ilimuuza kwenda klabu ya Pharco FC ya Misri.
Kichuya alivyokuwa Pharco FC alitolewa kwa mkopo kwenda Enppi FC – Mkataba wake na Simba haujawekwa wazi ni wa muda gani