×

Will smith afichua wivu wake kwa Tupac !

 

MWIGIZAJI mkubwa duniani kutoka pande za kwa Trump, Will Smith amefunguka kwamba alikuwa na wivu mno pale alipomuona mkewe Pinkett Smith akiwa na ukaribu na Tupac Shakur, enzi za uhai wake.

Akizungumza na Kipindi cha The Breakfast Club, Will Smith alisema, ukaribu huo ulimnyima raha na kuhisi anaweza kupeperushiwa ndege wake na rapa huyo.Related image

“Ndiyo, nakumbuka nilihisi wivu sana na ninasikitika sikumwambia Tupac, walipendana sana, lakini hawakuwa wapenzi,” alisema Will Smith.

Leave a Comment