×

Video: Majeruhi Wa Mafuta Ya Upako Wasimulia ‘Alisema Piteni Mlango Huu’


Watu 20 wamekufa kwa kukanyagana katika harakati za kutaka kukanyaga mafuta ya upako kwenye kongamano la mtume Boniface Mwaiposa lililofanyika uwanja wa majengo mjini Moshi .

Majeruhi wasimulia kilichotokea na namna walivyoweza kujiokoa katika mkasa huo wa kuhuzunisha.

Leave a Comment