Watu 20 wamekufa kwa kukanyagana katika harakati za kutaka kukanyaga mafuta ya upako kwenye kongamano la mtume Boniface Mwaiposa lililofanyika uwanja wa majengo mjini Moshi .
Majeruhi wasimulia kilichotokea na namna walivyoweza kujiokoa katika mkasa huo wa kuhuzunisha.