×

Rais JPM Atunuku Kamisheni Kwa Maafisa Wanafunzi 128 wa JWTZ

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 128 wa jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, (JWTZ) huku kati ya hoa 108 ni Maafisa wanaume na 20 ni Maafisa wanawake.

Leave a Comment