×

Video: Msigwa Amjibu Steve Nyerere ‘Siwezi Kucheza Kwenye Kuku Mimi Ni Tai!’

Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini amepata wasaa wa kuzungumza na Global TV akielezea mambo mbalimbali likiwemo suala lililompelekea kuhitilafiana na Msanii wa Maigizo nchini maarufa kwa jina Steve Nyerere.

Leave a Comment