Msemaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz, ameonekana akipigana uwanjani baada ya kumalizka kwa mechi ya Ligi Kuu kati ya ya Coastal Union ya Tanga dhidi ya Yanga ambayo imemalizika kwa sare ya bila kufungana.