Malawi imehalalisha kupanda, kuuza, na kusafirisha bangi nje ya nchi kwa ajili ya matumizi mbalimbali yakiwemo kutengeneza dawa, mafuta na karatasi, na kuzuia uvutaji wa bangi.
Malawi inaungana na nchi nyingine za Kusini mwa Afrika zikiwemo Zambia, Lesotho, Zimbabwe, kulima zao hilo.
