×

EXCLUSIVE: DC JOKATE Kuhusu MPENZI Wake, Afunguka KUGOMBEA UBUNGE -Video


Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, Februari 28, amezindua Tamasha la Mama Lishe, wilayani kwake ambapo watu mbalimbali wamehudhuria akiwemo Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo, Muigizaji, Jackline Wolper, Nandy na Shilole.

Leave a Comment