×

Video: Askofu Mwamakula Akamatwa, P Diddy Ashangaza Watu – Soul Food

LEO Jumapili Julai 18, 2021 kwenye kipindi Cha Soulfood kimezungumzia Askofu Mwamakula kukamatwa, P Diddy kushangaza watu kuanzisha huduma.

Ungana na watangazaji wako mahiri Dkt.Lucas Masungwa, Gladys Irenza(Pstr) na Gospel Dennis (Queen herself), kila Jumapili kuanzia saa 12:00-03.00 kupitia Global Radio.

Leave a Comment