The House of Favourite Newspapers
gunners X

Balaa la Mchungaji ‘ATUPA MAWE’ Kanisani – Video

0

KIONGOZI wa Kanisa la Ufunuo lililopo Kimara Bonyokwa, Mchungaji Paul Bendera jana Jumapili ya Februari 1, 2020, amefanya ibada ya aina yake kanisani hapo.

 

Wakati akihubiri neno la Mungu, Mchungaji Bendera alifanya maombi ya Kubariki mawe matano kwa ajili ya kuyarusha kwa maadui ili waumini wake wasikumbwe na matatizo.

 

Bendera amesema ishara hiyo ya mawe imeandikwa hata kwenye vitabu vya dini ikiwemo habari ya mawe matano ambayo Daudi aliyatumia kummaliza Goliath. Mchungaji huyo ameongeza kuwa ameamua kutumia muujiza huo ili kuwafurumusha maadui wa waumini wake na maadui wa Mungu.

 

Leave A Reply