×

Rais Samia Ashiriki Kongamano la Kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa | Zanzibar-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo 14 Julai 2022, ameshiriki katika kongamano la pili la kumuenzi Hayati Benjamini William Mkapa Rais wa awamu ya tatu, Lililofanyika Visiwani Zanzibar.

Leave a Comment