×

Daraja Lasombwa na Maji… Usafiri Moro-Dodoma Hakuna – Video

DARAJA la Kiyegeya lililopo wilayani Gairo,  barabara kuu ya kutoka Morogoro kwenda Dodoma, limevunjika na kutenganisha barabara hiyo kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani humo.

Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro amesema wamejadili njia mbadala ya kurejesha mawasiliano katika barabara hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loatha Ole Sanare, ametangaza kufungwa kwa barabara kati ya Morogoro na Dodoma.

 

HALI TETE, Daraja lasombwa na Maji Morogoro, RPC Atoa ONYO “Abiria Wabaki Huko Huko” l TBC 1

Leave a Comment