×

BSS Yakabidhi 500,000/= TACAIDS

MKURUGENZI wa kampuni ya Benchmark Production, inayoendesha shindano la Bongo Star Search (BSS) Everlyne  Byaruhangwa, Machi 6, 2020, jana  alikabidhi kiasi cha shilingi laki tano (500,000) kwa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), ikiwa ni moja ya michango yao  katika mapambano ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya ukimwi.

Mwakililishi kutoka kampuni ya Star Times (katikati) akieleza machache alipokuwa  ofisi ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) jana. Kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania, Leonard Mabondo, na kulia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Production, Everlyne  Byaruhangwa, ambaye alikabidhi kiasi cha shilingi laki tano (500,000) kwa  (TACAIDS), ikiwa ni moja ya michango yao  katika mapambano ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya ukimwi. 
 Mabondo  akizungumza kwenye hafla hiyo. 
Byaruhangwa akikabidhi Sh. 500,000 kwa Mabondo.
…Akitoa  shukurani kwenye hafla hiyo fupi.

Na Imelda Mtema

Leave a Comment