Yanga Yapigwa na KMC Bao 1-0, Yabaki Nafasi ya Tatu
Global Publishers March 12, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Timu ya Yanga imefungwa bao 1-0 dhidi ya KMC leo Machi 12, 2020 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mfungaji wa bao la KMC ni Salim Aiyee dakika ya 62.