Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa msaada wa fedha pamoja na vitu mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya Tsh Bilioni 1.185 kutoka kwa wadau.