×

Infinix S5PRO NA KAMERA YA MAAJABU.

Ilianza S5 na S5 lite, sasa Infinix Mobile inakuletea S5 pro,ikiwa na sifa lukuki zinazoipa umaridadi zaidi.

S5 pro imekujana Android version 10 nautofauti mkubwa katika upande wa kamera nakuifanya kuwa simu ya kwanza yenyemuonekano wa kuvutia na kamera kali zaidi kwa kulinganisha na simu za awali  katika  toleo la “S Series”.

 

Selfie kameraya S5 Pro inasemekana  ina megapixel sichini  ya 40 zenye kujichomoza kwajuu wakati wa upigaji selfie, na inasemekana  haichuji wala kupoteza ubora yaani unaweza kupiga Picha (kujiselfisha) hata mara 500 kwasiku  na ubora uko pale pale.

Hii ni zaidi ya maajabu kwenye Simu hii Kutoka Infinix  Mobile na wadau wa Infinix kupitia mtandao wa kijamii wa infinixmobiletz wameonekana kuisubiri kwa hamu.

 

 

Leave a Comment