×

Amuua Mkewe kwa Kumtaka Wapime Kabla ya Tendo la Ndoa – Video

KAMANDA wa Polisi mkoa wa Mwanza, Jumanne Murilo, ameelezea tukio la wanandoa waliopoteza maisha kwa mume kumuua mkewe na kisha yeye kujiua kwa kunywa sumu.

 

Murilo amesema mwanamke huyo alifahamika kwa jina la Anastazia Zacharia na amefariki baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani na mume wake aliyemtaka wapime afya zao kabla ya tendo la ndoa, kwani mwanaume huyo alisafiri kwa mwaka mmoja. 
Aidha, Kamanda Murilo ameelezea tukio la watoto wawili kutupwa wakiwa hai katika shamba la majaruba.

Leave a Comment