×

Ndugai Aagiza Wabunge 15 CHADEMA Wasikanyage Bungeni Kuanzia leo

Spika wa Bunge ameagiza kitengo cha usalama cha Bunge kutowaruhusu wabunge 15 wa CHADEMA kuingia katika maeneo ya Bunge kuanzia leo hadi pale watakaporudisha posho ya kujikimu ya tarehe 1-17 Mei 2020 waliyolipwa na kuwasilisha ushahidi wa kupima kuthibitisha hawajaambukizwa Corona.

 

Leave a Comment