×

Simba Yapangwa na Azam Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho

 

Droo ya Robo Fainali ya kombe la Shirikisho la Azam Sports, imefanyika asubuhi hii, huku Mabingwa watetezi, Azam FC, wakipangwa na Mnyama Simba..
.
MECHI ZA ROBO FAINALI ASFC..
.
Namungo vs Alliance
Sahare vs Ndanda
Simba vs Azam FC
Yanga vs Kagera Sugar

Leave a Comment