×

Bosi MSD, Laurean Bwanakunu Anashikiliwa na TAKUKURU -Video

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo Juni 2, 2020 inamshikilia aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu, pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Lojistiki wa MSD, Byekwaso Tabura, kwa tuhuma za kutumia madaraka yao vibaya na kuisababishia serikali hasara.


Leave a Comment