Hakika kabla hujafa hujaumbika, ukijiona ni mzima Shukuru kwani wapo wengine wanaotamani angalau wapate dakika 1 ya kumuomba Mungu awaondolee maumivu walionayo Huyu ni mama Mwenye Watoto wawili ambaye kwa sasa anaishi na Mtoto mmoja baada ya Mtoto mwingine kuwa bize na maisha yake.