Mwenyekiti wa Chama Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe (Mb), amepokelewa muda mfupi uliopita Kitengo cha Dharura, Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uchunguzi wa matibabu zaidi.