×

Bungeni: Spika Amtoa Nje Ya Bunge, Mbunge Aliyedai Kudhalilishwa – Video


Spika Ndugai amemtoa nje ya Bunge, Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA), Yosepher Komba

Ni baada ya Mbunge huyo kuwasha kipaza sauti akilalamika kudhalilishwa na Mbunge wa Viti Maalum(CCM), Jackline Msongozi

Leave a Comment