×

TABORA: Mbunge wa CUF Atimkia CCM – Video

Mbunge wa Viti Maalum (CUF) mkoa wa Tabora, Rehema Juma Migila amejiunga na CCM akidai kuridhishwa na utekelezaji wa ilani za chama hicho chini ya uongozi wa Rais  Dkt. John Magufuli.

Leave a Comment