Balozi Seif Ali Idd Apokea Msaada wa Mabati 216, Mbao 333 Kutoka Nmb
Global Publishers June 15, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) akishukuru baada ya kupokea msaada wa Mabati 216 na Mbao 333 kwa ajili ya shule tatu za awali, katika jimbo la Kikwajuni -Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Mgaharibi Zanzibar yaliyotolewa na Benki ya NMB. Kutoka kushoto kwake ni Mbunge wa jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni, katikati ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi na kulia ni Maofisa wa Benki hiyo.