×

Video: “Mume Wangu Ameuawa, Mwenye Nyumba Kanifukuza, Nisaidieni” – Mjane

Huyu ni mama mwenye umri wa miaka 30 ambaye mume wake aliuawa mwaka 2018 wakati akiwa katika shughuli zake, lakini pia baba yake mzazi alimkataa tangu akiwa mdogo, changamoto kubwa aliyonayo kwa sasa ni sehemu ya kuishi kwani yeye na mume wake walikuwa wamepanga na sasa kodi imeisha hivyo mwenye nyumba amemfukuza na kufungia vitu vyake ndani

UNAWEZA KUMSAIDIA CHOCHOTE KUPITIA Namba 0783910571

 

Leave a Comment