×

Video: Kijana -‘’Nilimshikia Panga Mama Yangu’’, Atoa Ushuhuda Mzito


Kijana aliyeathirika na madawa ya kulevya ametoa ushuhuda mzito mbele ya kamera za Global TV Online akielezea changamoto alizopitia, ikiwemo kutaka kumuua mama yake mzazi na yeye kunusurika kifo kutokana na madawa ya kulevya.

 

Kijana huyo kwa sasa analelewa katika kituo cha Back To Life Sober House, kilichopo jijini Dar es salaam, akiendelea na tiba ya kuacha madawa hayo ambayo yalitaka kuharibu kabisa maisha yake.

Leave a Comment