×

Samia Akutana na Viongozi wa CCM Temeke

 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Samia Suluhu Hassan,  alipowasili Wilaya ya Temeke.

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 23, 2020,  amefanya  ziara Halmashauri ya Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.

 

…Akisalimiana na DJ Mwanaidi Adinan Msuya wa Kikundi cha Peramiho Music Sound.
…Akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Leave a Comment