Rais Magufuli ameipongeza Benki Kuu ya Tanzania, mabenki na sekta ya fedha kwa ujumla kwa mchango wao katika kuiwezesha Tanzania kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati.