Sheikh Sharrif Majini amefika Handeni Vijijini ili kwenda kujua utaratibu wa namna ya kugombea ubunge wa jimbo hilo na kufunguka kuwa kwa aliyofanya Rais Magufuli yanawafanya wapinzani kuwa katika wakati mgumu wa kuhinda katika uchaguzi wa mwaka huu. Sheikh Sharrif asema wabunge wa upinzani watakaorudi bungeni kama ni wengi basi ni watatu tu.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx