×

Mondi Alivyocheza Wimbo wa Kiba Mbele ya JPM – Video

Katika kuonesha upendo na mshikamano, Diamond Platnumz alisimama na kucheza wimbo wa Ali Kiba wakati akimuimbia Rais Magufuli katika hafla iliyoandaliwa Ikulu ya Chamwino Dododma

Leave a Comment