JESHI la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, kupitia kwa kamanda wake, Lazaro Mambosasa, leo Machi 27, amezungumza na waandishi kuhusiana na hali ya usalama katika mkoa wa Dar.