×

VIDEO : Mrisho Gambo Achukua Fomu, Ubunge Arusha Mjini

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, leo amechukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Arusha Mjini, kupitia chama cha Mapinduzi.

Leave a Comment