×

Nafasi za Kazi 4 Msaidizi wa Hesabu daraja , Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

POST MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II – 4 POST
POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (NZEGA DC)
APPLICATION TIMELINE: 2020-07-06 2020-07-20
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.  Kuandika na kutunza  register zinazohusu shughuli za uhasibu;

ii.  Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha;

iii.  Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu;

iv.  Kupeleka barua /nyaraka za uhasibu Benki;

v.  Kufanya usuluhisho wa masurufu,karadha,Hesabu za Benki na Amana;

vi.  Kufanya  kazi  nyingine  za  fani  yake  atakazopangiwa  na  mkuu  wake  wa

kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa  wenye  cheti  cha  Astashahada  ya  Uhasibu  kutoka  chuo

kinachotambulika na Serikali au cheti cha ATEC level I kinachotolewa  na NBAA,

au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.

REMUNERATION TGS. B.

>> CLICK HERE TO APPLY <<

Leave a Comment