×

Ndosi Naye Achukua Fomu Kibaha Mjini

 

Ndosi (kushoto) akionesha furaha baada ya kukabidhiwa fomu na Katibu wa CCM, Kibaha Mjini, Adifu Luambano.

Mwanasheria na Mwanadiplomasia, Deogratius Ndosi, jana Julai 15 alichukua fomu ya kutia nia ya kugombea ubunge, Jimbo la Kibaha Mjini mkoani Pwani kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Ndosi akionesha fomu hiyo baada ya kukabidhiwa.

Habari/Picha: Mwandishi wetu.

Leave a Comment