×

Idd Azzan Arudisha Fomu Baada Ya Kutia Nia

Akirudisha fomu kwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa UVCCM Wilaya ya Kinondoni, Ally Simba.

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Dar, Iddi Azzan ambaye jana alichukua fomu ya kugombea tena kwenye jimbo hilo, Julai 17, 2020 amerudisha fomu hiyo kwenye ofisi ya wilaya ya chama hicho na kuthitisha nia yake.

Fomu hiyo ilipokelewa na Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Kinondoni, Ally Simba.

Akijaza nyaraka muhimu.
Idd Azzan akiingia ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS GPL.

Leave a Comment