×

Rais Magufuli Afanya Mabadiliko Uteuzi Wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe

Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amefanya mabadiliko ya uteuzi wake wa Julai 17, 2020 na amemteua Mhandisi Marwa Mwita Rubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe

Kabla ya kuteuliwa na Rais, Mhandisi Rubirya alikuwa Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza

Awali, Rais Magufuli alimteua Jumanne Fhika kuwa RC wa mkoa huo. Imeelezwa kuwa, Fhika ataendelea na majukumu yake katika Ofisi ya Rais

DIAMOND Amtaja HAMISA MOBETO LIVE, AMSIFIA, Aingia na ZUCHU UKUMBINI kwenye USIKU WAKE..

Leave a Comment