×

Video: Manara Ashindwa Kuvumilia, ‘Atoa Mahari Ya Zuchu’

Sauti, nzuri na mauno aliyobarikiwa Zuchu vamemchengua msemaji wa Simba Haji Manara na kuamua kwenda kutoa mahari kwa mama yake Zuchu Khadija Kopa stejini.

 

Hii ilikuwa kwenye show ya I AM ZUCHU ukumbini Mlimani City ambapo Zuchu alialika watu mbalimbali kwa ajili ya kusema “Ahsante Nashukuru” kwa mapokezi aliyopata kwenye muziki. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment