Sauti, nzuri na mauno aliyobarikiwa Zuchu vamemchengua msemaji wa Simba Haji Manara na kuamua kwenda kutoa mahari kwa mama yake Zuchu Khadija Kopa stejini.
Hii ilikuwa kwenye show ya I AM ZUCHU ukumbini Mlimani City ambapo Zuchu alialika watu mbalimbali kwa ajili ya kusema “Ahsante Nashukuru” kwa mapokezi aliyopata kwenye muziki. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx