Kundi la Wasafi Classic Baby (WCB) usiku wa kuamkia leo Julai 19, 2020 limemtambulisha msanii wao mpya Zuchu katika shoo iliyofanyika ndani ya Mlimani City, Dar ambapo nyomi la mashabiki lilifurika.
Shoo hiyo ili hudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemoi Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Paul Makonda.