×

Wagombea Ubunge Buchosa-Sengerema Wakijinadi kwa Wajumbe Wapiga kura

 

 

Wagombea wakiwa mbele ya wapiga kura kunadi sera zao.
Shigongo akizungumza.
Mmoja wa Washiriki kugombea ubunge akinadi sera zake.

Mgombea akijinadi
Wakiendelea kujinadi kwa wapiga kura.
Wakiendelea kujinadi.
Aliyekuwa mbunge wa Buchosa akijinadi kuomba kura.

 

Baadhi ya wagombe ubunge katika jimbo la Buchosa wakijinadi kwa wajumbe katika mchakato wa kuwapata wagombea ubunge katika kura za maoni.

 

 

Leave a Comment