
Naibu wa Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara ameibuka kidedea kwa kupata kura 291. Alikuwa Mbunge wa Ukonga Bunge lililopita
James Bwire amepata kura 135 na kushika nafasi ya pili. Nafasi ya tatu ni aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi mwenye kura 128