
Hamis Taletale maarufu kama Babu Tale ameongoza katika kura za maoni kwa kupata kura 318
Nafasi ya pili katika kura hizo imechukuliwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Omary Mghumba aliyepata kura 242
Babu Tale anaweza kupata nafasi ya kuwakilisha CCM katika Jimbo hilo kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020
