Umati wa watu waliohudhuria kwenye sherehe za kumuapisha Dk Magufuli.
Makamu wa Rais Msitaafu Dk Gharib Bilal (kushoto) akiwasili kwenye uwanjani hapo.
Mke wa Rais Msitaafu wa awamu ya nne, Dk Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete akiwasili uwanjani hapo.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande na aliyekuwa Spika wa Bunge, Anne Makinda wakiwasili uwanjani hapo.
Viongozi wa dini ya Kikristo wakiongozwa na Askofu Mkuu, Muhadhamu Kardinali Pengo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein
Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli akiwasili.
Makamu wa rais, Samia Suluhu Hassan akiwasili.
Dk Magufuli akisalimiana na viongozi mbalimbali wa dini
Rais Magufuli na Makamu wake, Samia Suluhu.
Makamu wa rais Msitaafu, Dk Gharib Bilal
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
Rais wa Awamu ya Tano, Dk Jakaya Kikwete akiwasili uwanjani.
Rais wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikweye akikagua gwaide.
Umati wa Wananchi waliohudhuria kuapishwa kwa Magufuli
Dk John Magufuli akiapishwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais Magufuli akieana mkono na Jaji Mkuu, Othman Chande
Rais Magufuli akikabidhiwa ngao ya Taifa
Bi Samia Suluhu akiapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
