KUFUATIA kifo cha cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Benjamini wa Tanzania, Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Dkt. Ali Hassan Mwinyi amefika nyumbani kwa marehemu Mkapa kwaajili yakutoa pole kwa wafiwa.